Al-Fajr · 8/30
Tafsiri Uandishi wa sauti — Al-Fajr
الَّتِي لَمْ يُخْلَقْ مِثْلُهَا فِي الْبِلَادِ ۝٨
Allatee lam yukhlaq misluhaa fil bilaad
📖 Kwa Kiswahili
Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi?
🎧 Sikiliza

📜 Aya 6-10 — Al-Fajr

6أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِعَادٍ
Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya kina A'di?
7إِرَمَ ذَاتِ الْعِمَادِ
Wa Iram, wenye majumba marefu?
8الَّتِي لَمْ يُخْلَقْ مِثْلُهَا فِي الْبِلَادِ
Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi?
9وَثَمُودَ الَّذِينَ جَابُوا الصَّخْرَ بِالْوَادِ
Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?
10وَفِرْعَوْنَ ذِي الْأَوْتَادِ
Na Firauni mwenye vigingi?
Al-FajrFaharasa ya Qurani
30Aya
MakkaRevelation
8Aya

Tafsiri — Al-Fajr 8

Sura Al-Fajr Aya 8 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi?

Sura Aya 8/30 — Al-Fajr الفجر (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Al-Fajr Sikiliza, Al-Fajr Tafsiri, Al-Fajr mp3, Al-Fajr pdf. Aya 6–10. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema