Al-Fajr · 9/30
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Fajr
وَثَمُودَ الَّذِينَ جَابُوا الصَّخْرَ بِالْوَادِ ۝٩
Wa samoodal lazeena jaabus sakhra bil waad
📖 Kwa Kiswahili
Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?

🎧 Sikiliza


📜 Aya 7-11 — Sura Al-Fajr

7إِرَمَ ذَاتِ الْعِمَادِ
Wa Iram, wenye majumba marefu?
8الَّتِي لَمْ يُخْلَقْ مِثْلُهَا فِي الْبِلَادِ
Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi?
9وَثَمُودَ الَّذِينَ جَابُوا الصَّخْرَ بِالْوَادِ
Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?
10وَفِرْعَوْنَ ذِي الْأَوْتَادِ
Na Firauni mwenye vigingi?
11الَّذِينَ طَغَوْا فِي الْبِلَادِ
Ambao walifanya jeuri katika nchi?
Al-FajrFaharasa ya Qurani
30Aya
MakkaRevelation
9Aya

Tafsiri — Al-Fajr 9

Sura Al-Fajr Aya 9 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?

Sura Aya 9/30 — Sura Al-Fajr الفجر (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Fajr Sikiliza, Sura Al-Fajr Tafsiri, Sura Al-Fajr mp3, Sura Al-Fajr pdf. Aya 7–11. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Monday, September 7, 2026

Usitusahau katika dua zako njema