Fatir · 22/45
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Fatir
وَمَا يَسْتَوِي الْأَحْيَاءُ وَلَا الْأَمْوَاتُ ۚ إِنَّ اللَّهَ يُسْمِعُ مَن يَشَاءُ ۖ وَمَا أَنتَ بِمُسْمِعٍ مَّن فِي الْقُبُورِ ۝٢٢
Wa maa yastawil ahyaaa`u wa lal amwaat; innal laaha yusmi`u mai yashaaa`u wa maaa anta bimusi`im man fil quboor
📖 Kwa Kiswahili
Wala hawalingani walio hai na maiti. Hakika Mwenyezi Mungu humsikilizisha amtakaye. Wala wewe si wa kuwasikilizisha walio makaburini.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 20-24 — Sura Fatir

20وَلَا الظُّلُمَاتُ وَلَا النُّورُ
Wala giza na mwangaza.
21وَلَا الظِّلُّ وَلَا الْحَرُورُ
Wala kivuli na joto.
22وَمَا يَسْتَوِي الْأَحْيَاءُ وَلَا الْأَمْوَاتُ ۚ إِنَّ اللَّهَ يُسْمِعُ مَن يَشَاءُ ۖ وَمَا أَنتَ بِمُسْمِعٍ مَّن فِي الْقُبُورِ
Wala hawalingani walio hai na maiti. Hakika Mwenyezi Mungu humsikilizisha amtakaye. Wala wewe si wa kuwasikilizisha walio makaburini.
23إِنْ أَنتَ إِلَّا نَذِيرٌ
Hukuwa wewe ila ni mwonyaji.
24إِنَّا أَرْسَلْنَاكَ بِالْحَقِّ بَشِيرًا وَنَذِيرًا ۚ وَإِن مِّنْ أُمَّةٍ إِلَّا خَلَا فِيهَا نَذِيرٌ
Hakika Sisi tumekutuma wewe kwa Haki, kuwa ni mbashiri na mwonyaji. Na hapana umma wowote ila ulipata mwonyaji kati yao.
FatirFaharasa ya Qurani
45Aya
MakkaRevelation
22Aya

Tafsiri — Fatir 22

Sura Fatir Aya 22 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Wala hawalingani walio hai na maiti. Hakika Mwenyezi Mungu humsikilizisha…

Sura Aya 22/45 — Sura Fatir فاطر (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Fatir Sikiliza, Sura Fatir Tafsiri, Sura Fatir mp3, Sura Fatir pdf. Aya 20–24. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Monday, September 7, 2026

Usitusahau katika dua zako njema