Al-Fajr · 10/30
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Al-Fajr
وَفِرْعَوْنَ ذِي الْأَوْتَادِ ۝١٠
Wa fir`awna zil awtaad
📖 Kwa Kiswahili
Na Firauni mwenye vigingi?

🎧 Sikiliza


📜 Aya 8-12 — Sura Al-Fajr

8الَّتِي لَمْ يُخْلَقْ مِثْلُهَا فِي الْبِلَادِ
Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi?
9وَثَمُودَ الَّذِينَ جَابُوا الصَّخْرَ بِالْوَادِ
Na Thamudi walio chonga majabali huko bondeni?
10وَفِرْعَوْنَ ذِي الْأَوْتَادِ
Na Firauni mwenye vigingi?
11الَّذِينَ طَغَوْا فِي الْبِلَادِ
Ambao walifanya jeuri katika nchi?
12فَأَكْثَرُوا فِيهَا الْفَسَادَ
Wakakithirisha humo ufisadi?
Al-FajrFaharasa ya Qurani
30Aya
MakkaRevelation
10Aya

Tafsiri — Al-Fajr 10

Sura Al-Fajr Aya 10 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na Firauni mwenye vigingi?

Sura Aya 10/30 — Sura Al-Fajr الفجر (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Al-Fajr Sikiliza, Sura Al-Fajr Tafsiri, Sura Al-Fajr mp3, Sura Al-Fajr pdf. Aya 8–12. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, September 8, 2026

Usitusahau katika dua zako njema