Ya-Sin · 43/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Ya-Sin
وَإِن نَّشَأْ نُغْرِقْهُمْ فَلَا صَرِيخَ لَهُمْ وَلَا هُمْ يُنقَذُونَ ۝٤٣
Wa in nashaa nughriqhum falaa sareekha lahum wa laa hum yunqazoon
📖 Kwa Kiswahili
Na tukitaka tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi,

🎧 Sikiliza


📜 Aya 41-45 — Ya-Sin

41وَآيَةٌ لَّهُمْ أَنَّا حَمَلْنَا ذُرِّيَّتَهُمْ فِي الْفُلْكِ الْمَشْحُونِ
Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuriya zao katika jahazi ilio sheheni.
42وَخَلَقْنَا لَهُم مِّن مِّثْلِهِ مَا يَرْكَبُونَ
Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda.
43وَإِن نَّشَأْ نُغْرِقْهُمْ فَلَا صَرِيخَ لَهُمْ وَلَا هُمْ يُنقَذُونَ
Na tukitaka tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi,
44إِلَّا رَحْمَةً مِّنَّا وَمَتَاعًا إِلَىٰ حِينٍ
Isipo kuwa kwa rehema zitokazo kwetu na starehe kwa muda.
45وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّقُوا مَا بَيْنَ أَيْدِيكُمْ وَمَا خَلْفَكُمْ لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ
Na wanapo ambiwa: Jilindeni na yalioko mbele yenu na yalioko nyuma yenu, ili mpate kurehemewa...
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
43Aya

Tafsiri — Ya-Sin 43

Sura Ya-Sin Aya 43 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na tukitaka tunawazamisha, wala hapana wa kuwasaidia, wala hawaokolewi,

Sura Aya 43/83 — Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Ya-Sin Sikiliza, Ya-Sin Tafsiri, Ya-Sin mp3, Ya-Sin pdf. Aya 41–45. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema