Nuh · 21/28
Tafsiri Uandishi wa sauti — Nuh
قَالَ نُوحٌ رَّبِّ إِنَّهُمْ عَصَوْنِي وَاتَّبَعُوا مَن لَّمْ يَزِدْهُ مَالُهُ وَوَلَدُهُ إِلَّا خَسَارًا ۝٢١
Qaala Noohur Robbi innahum `asawnee wattaba`oo mal lam yazid hu maaluhoo wa waladuhooo illaa khasaara
📖 Kwa Kiswahili
Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika hao wameniasi, na wamemfuata yule ambaye mali yake na wanawe hawakumzidishia ila khasara.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 19-23 — Nuh

19وَاللَّهُ جَعَلَ لَكُمُ الْأَرْضَ بِسَاطًا
Na Mwenyezi Mungu amekukunjulieni ardhi kama busati.
20لِّتَسْلُكُوا مِنْهَا سُبُلًا فِجَاجًا
Ili mtembee humo katika njia zilizo pana.
21قَالَ نُوحٌ رَّبِّ إِنَّهُمْ عَصَوْنِي وَاتَّبَعُوا مَن لَّمْ يَزِدْهُ مَالُهُ وَوَلَدُهُ إِلَّا خَسَارًا
Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika hao wameniasi, na wamemfuata yule ambaye mali yake na wanawe hawakumzidishia ila khasara.
22وَمَكَرُوا مَكْرًا كُبَّارًا
Na wakapanga vitimbi vikubwa.
23وَقَالُوا لَا تَذَرُنَّ آلِهَتَكُمْ وَلَا تَذَرُنَّ وَدًّا وَلَا سُوَاعًا وَلَا يَغُوثَ وَيَعُوقَ وَنَسْرًا
Na wakasema: Msiwaache miungu yenu, wala msimwache Wadda wala Suwaa' wala Yaghutha, wala Yau'qa, wala Nasra.
NuhFaharasa ya Qurani
28Aya
MakkaRevelation
21Aya

Tafsiri — Nuh 21

Sura Nuh Aya 21 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika hao wameniasi, na wamemfuata…

Sura Aya 21/28 — Nuh نوح (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Nuh Sikiliza, Nuh Tafsiri, Nuh mp3, Nuh pdf. Aya 19–23. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema