Ash-Shams · 14/15
Tafsiri Uandishi wa sauti — Ash-Shams
فَكَذَّبُوهُ فَعَقَرُوهَا فَدَمْدَمَ عَلَيْهِمْ رَبُّهُم بِذَنبِهِمْ فَسَوَّاهَا ۝١٤
Fakazzaboohu fa`aqaroohaa fadamdama `alaihim Rabbuhum bizambihim fasaw waahaa
📖 Kwa Kiswahili
Lakini walimkadhibisha na wakamchinja ngamia, kwa hivyo Mola wao Mlezi aliwaangamiza kwa sababu ya dhambi zao na akawafuta kabisa.
🎧 Sikiliza

📜 Aya 12-15 — Ash-Shams

12إِذِ انبَعَثَ أَشْقَاهَا
Alipo simama mwovu wao mkubwa,
13فَقَالَ لَهُمْ رَسُولُ اللَّهِ نَاقَةَ اللَّهِ وَسُقْيَاهَا
Hapo Mtume wa Mwenyezi Mungu alipo waambia: Huyu ni ngamia wa Mwenyezi Mungu, mwacheni anywe maji fungu lake.
14فَكَذَّبُوهُ فَعَقَرُوهَا فَدَمْدَمَ عَلَيْهِمْ رَبُّهُم بِذَنبِهِمْ فَسَوَّاهَا
Lakini walimkadhibisha na wakamchinja ngamia, kwa hivyo Mola wao Mlezi aliwaangamiza kwa sababu ya dhambi zao na akawafuta kabisa.
15وَلَا يَخَافُ عُقْبَاهَا
Wala Yeye haogopi matokeo yake.
Ash-ShamsFaharasa ya Qurani
15Aya
MakkaRevelation
14Aya

Tafsiri — Ash-Shams 14

Sura Ash-Shams Aya 14 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Lakini walimkadhibisha na wakamchinja ngamia, kwa hivyo Mola wao Mlezi…

Sura Aya 14/15 — Ash-Shams الشمس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Ash-Shams Sikiliza, Ash-Shams Tafsiri, Ash-Shams mp3, Ash-Shams pdf. Aya 12–15. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema