Ash-Shu'ara · 10/227
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura Ash-Shu'ara
وَإِذْ نَادَىٰ رَبُّكَ مُوسَىٰ أَنِ ائْتِ الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ ۝١٠
Wa iz naadaa Rabbuka Moosaaa ani`-til qawmaz zaalimeen
📖 Kwa Kiswahili
Na Mola wako Mlezi, alipo mwita Musa, akamwambia: Fika kwa watu madhaalimu,

M Mishary Rashid Alafasy ✓
M Mahmoud Khalil Al-Husary ✓
A Abdurrahman As-Sudais ✓
M Mohamed Siddiq Al-Minshawi ✓
A Abdul Basit Abdul Samad ✓
A Ali Al-Hudhaify ✓
A Ahmed ibn Ali al-Ajamy ✓
A Abu Bakr Ash-Shaatree ✓
M Muhammad Ayyoub ✓
A Abdullah Basfar ✓
A Abdullah Al-Juhani ✓
M Maher Al Muaiqly ✓
0:00
0:00


📜 Aya 8-12 — Sura Ash-Shu'ara

8إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً ۖ وَمَا كَانَ أَكْثَرُهُم مُّؤْمِنِينَ
Hakika katika haya zipo Ishara. Lakini wengi wao hawakuwa wenye kuamini.
9وَإِنَّ رَبَّكَ لَهُوَ الْعَزِيزُ الرَّحِيمُ
Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Yeye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.
10وَإِذْ نَادَىٰ رَبُّكَ مُوسَىٰ أَنِ ائْتِ الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ
Na Mola wako Mlezi, alipo mwita Musa, akamwambia: Fika kwa watu madhaalimu,
11قَوْمَ فِرْعَوْنَ ۚ أَلَا يَتَّقُونَ
Watu wa Firauni. Hawaogopi?
12قَالَ رَبِّ إِنِّي أَخَافُ أَن يُكَذِّبُونِ
Akasema: Hakika mimi nachelea wasinikanushe.
Ash-Shu'araFaharasa ya Qurani
227Aya
MakkaMahali pa Kuteremshwa
10Aya

Tafsiri — Ash-Shu'ara 10

Sura Ash-Shu'ara Aya 10 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na Mola wako Mlezi, alipo mwita Musa, akamwambia: Fika kwa…

Sura Aya 10/227 — Sura Ash-Shu'ara الشعراء (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura Ash-Shu'ara Sikiliza, Sura Ash-Shu'ara Tafsiri, Sura Ash-Shu'ara mp3, Sura Ash-Shu'ara pdf. Aya 8–12. Kwa Kiswahili: Soomaali.





Kurani Tukufu


Thursday, October 1, 2026

Usitusahau katika dua zako njema