Ya-Sin · 61/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Ya-Sin
وَأَنِ اعْبُدُونِي ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ ۝٦١
Wa ani`budoonee; haazaa Siraatum Mustaqeem
📖 Kwa Kiswahili
Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
🎧 Sikiliza

📜 Aya 59-63 — Ya-Sin

59وَامْتَازُوا الْيَوْمَ أَيُّهَا الْمُجْرِمُونَ
Na enyi wakosefu! Jitengeni leo!
60۞ أَلَمْ أَعْهَدْ إِلَيْكُمْ يَا بَنِي آدَمَ أَن لَّا تَعْبُدُوا الشَّيْطَانَ ۖ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ
Je! Sikuagana nanyi, enyi wanaadamu, kuwa msimuabudu Shet'ani? Hakika yeye ni adui dhaahiri kwenu.
61وَأَنِ اعْبُدُونِي ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ
Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
62وَلَقَدْ أَضَلَّ مِنكُمْ جِبِلًّا كَثِيرًا ۖ أَفَلَمْ تَكُونُوا تَعْقِلُونَ
Na bila ya shaka yeye amekwisha lipoteza kundi kubwa miongoni mwenu. Je, hamkuwa mkifikiri?
63هَٰذِهِ جَهَنَّمُ الَّتِي كُنتُمْ تُوعَدُونَ
Hii basi ndiyo Jahannamu mliyo kuwa mkiahidiwa.
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
61Aya

Tafsiri — Ya-Sin 61

Sura Ya-Sin Aya 61 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.

Sura Aya 61/83 — Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Ya-Sin Sikiliza, Ya-Sin Tafsiri, Ya-Sin mp3, Ya-Sin pdf. Aya 59–63. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema