As-Saffat · 22/182
Tafsiri Uandishi wa sauti — As-Saffat
۞ احْشُرُوا الَّذِينَ ظَلَمُوا وَأَزْوَاجَهُمْ وَمَا كَانُوا يَعْبُدُونَ ۝٢٢
Uhshurul lazeena zalamoo wa azwaajahum wa maa kaanoo ya`budoon
📖 Kwa Kiswahili
Wakusanyeni walio dhulumu, na wake zao, na hao walio kuwa wakiwaabudu -

🎧 Sikiliza


📜 Aya 20-24 — As-Saffat

20وَقَالُوا يَا وَيْلَنَا هَٰذَا يَوْمُ الدِّينِ
Watasema: Ole wetu! Hii ndiyo Siku ya Malipo.
21هَٰذَا يَوْمُ الْفَصْلِ الَّذِي كُنتُم بِهِ تُكَذِّبُونَ
Hii ndiyo Siku ya Hukumu mliyo kuwa mkiikadhibisha.
22۞ احْشُرُوا الَّذِينَ ظَلَمُوا وَأَزْوَاجَهُمْ وَمَا كَانُوا يَعْبُدُونَ
Wakusanyeni walio dhulumu, na wake zao, na hao walio kuwa wakiwaabudu -
23مِن دُونِ اللَّهِ فَاهْدُوهُمْ إِلَىٰ صِرَاطِ الْجَحِيمِ
Badala ya Mwenyezi Mungu. Waongozeni njia ya Jahannamu!
24وَقِفُوهُمْ ۖ إِنَّهُم مَّسْئُولُونَ
Na wasimamisheni. Hakika hao watasailiwa:
As-SaffatFaharasa ya Qurani
182Aya
MakkaRevelation
22Aya

Tafsiri — As-Saffat 22

Sura As-Saffat Aya 22 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Wakusanyeni walio dhulumu, na wake zao, na hao walio kuwa…

Sura Aya 22/182 — As-Saffat الصافات (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: As-Saffat Sikiliza, As-Saffat Tafsiri, As-Saffat mp3, As-Saffat pdf. Aya 20–24. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema