As-Saffat · 35/182
Tafsiri Uandishi wa sauti — Sura As-Saffat
إِنَّهُمْ كَانُوا إِذَا قِيلَ لَهُمْ لَا إِلَٰهَ إِلَّا اللَّهُ يَسْتَكْبِرُونَ ۝٣٥
Innahum kaanooo izaa qeela lahum laaa ilaaha illal laahu yastakbiroon
📖 Kwa Kiswahili
Wao walipo kuwa wakiambiwa La ilaha illa 'Llahu Hapana mungu ila Mwenyezi Mungu tu, wakijivuna.

M Mishary Rashid Alafasy ✓
M Mahmoud Khalil Al-Husary ✓
A Abdurrahman As-Sudais ✓
M Mohamed Siddiq Al-Minshawi ✓
A Abdul Basit Abdul Samad ✓
A Ali Al-Hudhaify ✓
A Ahmed ibn Ali al-Ajamy ✓
A Abu Bakr Ash-Shaatree ✓
M Muhammad Ayyoub ✓
A Abdullah Basfar ✓
A Abdullah Al-Juhani ✓
M Maher Al Muaiqly ✓
0:00
0:00


📜 Aya 33-37 — Sura As-Saffat

33فَإِنَّهُمْ يَوْمَئِذٍ فِي الْعَذَابِ مُشْتَرِكُونَ
Basi wao kwa hakika siku hiyo watashirikiana katika adhabu pamoja.
34إِنَّا كَذَٰلِكَ نَفْعَلُ بِالْمُجْرِمِينَ
Hivyo ndivyo tutakavyo wafanyia wakosefu.
35إِنَّهُمْ كَانُوا إِذَا قِيلَ لَهُمْ لَا إِلَٰهَ إِلَّا اللَّهُ يَسْتَكْبِرُونَ
Wao walipo kuwa wakiambiwa La ilaha illa 'Llahu Hapana mungu ila Mwenyezi Mungu tu, wakijivuna.
36وَيَقُولُونَ أَئِنَّا لَتَارِكُو آلِهَتِنَا لِشَاعِرٍ مَّجْنُونٍ
Na wakisema: Hivyo sisi tuiache miungu yetu kwa ajili ya huyu mtunga mashairi mwendawazimu?
37بَلْ جَاءَ بِالْحَقِّ وَصَدَّقَ الْمُرْسَلِينَ
Bali huyu amekuja kwa Haki, na amewasadikisha Mitume.
As-SaffatFaharasa ya Qurani
182Aya
MakkaMahali pa Kuteremshwa
35Aya

Tafsiri — As-Saffat 35

Sura As-Saffat Aya 35 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Wao walipo kuwa wakiambiwa La ilaha illa 'Llahu Hapana mungu…

Sura Aya 35/182 — Sura As-Saffat الصافات (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Sura As-Saffat Sikiliza, Sura As-Saffat Tafsiri, Sura As-Saffat mp3, Sura As-Saffat pdf. Aya 33–37. Kwa Kiswahili: Soomaali.





Kurani Tukufu


Wednesday, September 30, 2026

Usitusahau katika dua zako njema