Az-Zukhruf · 57/89
Tafsiri Uandishi wa sauti — Az-Zukhruf
۞ وَلَمَّا ضُرِبَ ابْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ ۝٥٧
Wa lammaa duribab nu Maryama masalan izaa qawmu ka minhu yasidoon
📖 Kwa Kiswahili
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.

🎧 Sikiliza


📜 Aya 55-59 — Az-Zukhruf

55فَلَمَّا آسَفُونَا انتَقَمْنَا مِنْهُمْ فَأَغْرَقْنَاهُمْ أَجْمَعِينَ
Walipo tukasirisha tuliwapatiliza tukawazamisha wote!
56فَجَعَلْنَاهُمْ سَلَفًا وَمَثَلًا لِّلْآخِرِينَ
Kisha tukawafanya kuwa watangulizi na mfano kwa wa baadaye.
57۞ وَلَمَّا ضُرِبَ ابْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُكَ مِنْهُ يَصِدُّونَ
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.
58وَقَالُوا أَآلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi!
59إِنْ هُوَ إِلَّا عَبْدٌ أَنْعَمْنَا عَلَيْهِ وَجَعَلْنَاهُ مَثَلًا لِّبَنِي إِسْرَائِيلَ
Hakuwa yeye (Isa) ila ni Mtumwa tuliye mneemesha na tukamfanya ni mfano kwa Wana wa Israili.
Az-ZukhrufFaharasa ya Qurani
89Aya
MakkaRevelation
57Aya

Tafsiri — Az-Zukhruf 57

Sura Az-Zukhruf Aya 57 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga…

Sura Aya 57/89 — Az-Zukhruf الزخرف (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Az-Zukhruf Sikiliza, Az-Zukhruf Tafsiri, Az-Zukhruf mp3, Az-Zukhruf pdf. Aya 55–59. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema