Al-Muzzammil · 17/20
Tafsiri Uandishi wa sauti — Al-Muzzammil
فَكَيْفَ تَتَّقُونَ إِن كَفَرْتُمْ يَوْمًا يَجْعَلُ الْوِلْدَانَ شِيبًا ١٧
Transliteration
Fakaifa tattaqoona in kafartum yawmany yaj`alul wildaana sheeba
Tafsiri (Kwa Kiswahili)
📖 Kwa Kiswahili
Basi nyinyi mkikufuru, mtawezaje kujikinga na Siku ambayo itawafanya watoto wadogo waote mvi?
Additional reference in Soomaali
🎧 Sikiliza
📜 Aya 15-19 — Al-Muzzammil
15إِنَّا أَرْسَلْنَا إِلَيْكُمْ رَسُولًا شَاهِدًا عَلَيْكُمْ كَمَا أَرْسَلْنَا إِلَىٰ فِرْعَوْنَ رَسُولًا
Hakika Sisi tumemtuma kwenu Mtume aliye shahidi juu yenu, kama tulivyo mtuma Mtume kwa Firauni.
16فَعَصَىٰ فِرْعَوْنُ الرَّسُولَ فَأَخَذْنَاهُ أَخْذًا وَبِيلًا
Lakini Firauni alimuasi huyo Mtume, basi tukamshika mshiko wa mateso.
17فَكَيْفَ تَتَّقُونَ إِن كَفَرْتُمْ يَوْمًا يَجْعَلُ الْوِلْدَانَ شِيبًا
Basi nyinyi mkikufuru, mtawezaje kujikinga na Siku ambayo itawafanya watoto wadogo waote mvi?
18السَّمَاءُ مُنفَطِرٌ بِهِ ۚ كَانَ وَعْدُهُ مَفْعُولًا
Hapo mbingu zitapasuka! Ahadi yake itakuwa imetekelezwa.
19إِنَّ هَٰذِهِ تَذْكِرَةٌ ۖ فَمَن شَاءَ اتَّخَذَ إِلَىٰ رَبِّهِ سَبِيلًا
Kwa hakika hili ni kumbusho. Mwenye kutaka atashika njia ya kwendea kwa Mola wake Mlezi.
Al-MuzzammilFaharasa ya Qurani
20Aya
MakkaRevelation
17Aya
Tafsiri — Al-Muzzammil 17
Sura Al-Muzzammil Aya 17 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Basi nyinyi mkikufuru, mtawezaje kujikinga na Siku ambayo itawafanya watoto…Sura Aya 17/20 — Al-Muzzammil المزمل (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Al-Muzzammil Sikiliza, Al-Muzzammil Tafsiri, Al-Muzzammil mp3, Al-Muzzammil pdf. Aya 15–19. Kwa Kiswahili: Soomaali.
العربية
English
Bahasa Indonesia
Türkçe
Русский
فارسی
Français
اردو
বাংলা
Deutsch
Español
中文
हिन्दी
Português
Italiano
ภาษาไทย
Polski
Nederlands
Shqip
Kiswahili
O'zbek
தமிழ்
Melayu
Bosanski
Soomaali
Azərbaycan
کوردی
한국어
日本語
Svenska
Dansk
Norsk
پښتو
മലയാളം
සිංහල
Tamazight
Hausa
አማርኛ
Български
Тоҷикӣ
Қазақша
Filipino
سنڌي
Yorùbá
Fulfulde
Татарча
ئۇيغۇرچە
Кыргызча
ਪੰਜਾਬੀ
Jawa
తెలుగు
မြန်မာ
ગુજરાતી
Oromo
मराठी
Tiếng Việt
Malagasy
Нохчийн
Wolof
ދިވެހި
ಕನ್ನಡ
Українська
Ελληνικά
ქართული
ខ្មែរ
دری
Qafar af
Maranao
नेपाली
Kurani Tukufu
Tuesday, August 18, 2026
Usitusahau katika dua zako njema








