Ya-Sin · 59/83
Tafsiri Uandishi wa sauti — Ya-Sin
وَامْتَازُوا الْيَوْمَ أَيُّهَا الْمُجْرِمُونَ ۝٥٩
Wamtaazul Yawma ayyuhal mujrimoon
📖 Kwa Kiswahili
Na enyi wakosefu! Jitengeni leo!
🎧 Sikiliza

📜 Aya 57-61 — Ya-Sin

57لَهُمْ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَلَهُم مَّا يَدَّعُونَ
Watapata humo kila namna ya matunda na watapata kila watakacho kitaka.
58سَلَامٌ قَوْلًا مِّن رَّبٍّ رَّحِيمٍ
"Salama!" Hiyo ndiyo kauli itokayo kwa Mola Mlezi Mwenye kurehemu.
59وَامْتَازُوا الْيَوْمَ أَيُّهَا الْمُجْرِمُونَ
Na enyi wakosefu! Jitengeni leo!
60۞ أَلَمْ أَعْهَدْ إِلَيْكُمْ يَا بَنِي آدَمَ أَن لَّا تَعْبُدُوا الشَّيْطَانَ ۖ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ
Je! Sikuagana nanyi, enyi wanaadamu, kuwa msimuabudu Shet'ani? Hakika yeye ni adui dhaahiri kwenu.
61وَأَنِ اعْبُدُونِي ۚ هَٰذَا صِرَاطٌ مُّسْتَقِيمٌ
Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
Ya-SinFaharasa ya Qurani
83Aya
MakkaRevelation
59Aya

Tafsiri — Ya-Sin 59

Sura Ya-Sin Aya 59 - Soma, Sikiliza, Tafsiri, Kiswahili : Na enyi wakosefu! Jitengeni leo!

Sura Aya 59/83 — Ya-Sin يس (Makka). Soma Sikiliza Tafsiri (Kiswahili). Sikiliza: Ya-Sin Sikiliza, Ya-Sin Tafsiri, Ya-Sin mp3, Ya-Sin pdf. Aya 57–61. Kwa Kiswahili: Soomaali.




Kurani Tukufu


Tuesday, August 18, 2026

Usitusahau katika dua zako njema